BIASHARAMFUMO WA BIASHARA
Mfumo wa biashara za kisasa Tanzania

Biashara yako. Mkononi mwako.

Simamia shughuli muhimu za biashara yako kwa urahisi, uwazi na mpangilio—popote ulipo.

Angalia Mfumo
Huhitaji kulipa sasa Inafanya kazi kwenye simu
BIASHARAMFUMO WA BIASHARA Muhtasari Mauzo Bidhaa Ripoti
Jumatatu, 25 AgostiHabari, Mmiliki 👋MJ
Mauzo ya leoTSh 485,000↑ 12% dhidi ya jana
Stock iliyopoBidhaa 326Aina 12 za bidhaa
MadeniTSh 120,000Yanahitaji kufuatiliwa
Mwenendo wa mauzoWiki hiiTSh 2.84M
J3AlhIjuJumJmoJplJ2
Stock ndogoAngalia
Maji 1.5LBidhaa 4 zimebaki
Mafuta 1LBidhaa 7 zimebaki
9:41
MAUZO MAPYAChagua bidhaa
MB
Maji BaridiTSh 1,000 · Stock 24
+
SK
Sukari 1kgTSh 3,500 · Stock 18
+
Mauzo yamehifadhiwaTSh 18,500
Tawi linalotumikaKigamboni
Rahisi kuanza Mobile-first Taarifa kwa ruhusa Biashara na matawi

Taarifa muhimu za biashara yako, sehemu moja.

Byteq Biashara ni mfumo unaosaidia wafanyabiashara kusimamia mauzo, stock, matumizi, madeni, wafanyakazi na matawi kutoka sehemu moja.

Fahamu Zaidi

Kila unachohitaji kusimamia biashara yako.

Chagua sehemu uone namna Byteq Biashara inavyorahisisha kazi za kila siku.

Kila mauzo, rekodi iliyo wazi.

Rekodi mauzo kwa haraka, chagua njia ya malipo na uone jumla ya siku bila kurudia kuhesabu daftari.

MAUZO YA LEOTSh 485,000Muhtasari unaoeleweka
1Maji 1.5LTSh 18,000
2Mchele 5kgTSh 32,500
3SabuniTSh 12,000

Hatua tatu. Biashara yako inaanza kuwa digital.

01

Jisajili

Tengeneza akaunti yako kwa taarifa muhimu.

02

Ongeza biashara

Weka biashara, tawi na bidhaa zako.

03

Anza kusimamia

Rekodi shughuli na fuatilia maendeleo.

Kuanzia duka moja hadi biashara inayokua.

Muundo rahisi unaoendana na shughuli tofauti bila kuhitaji utaalamu wa teknolojia.

01Rejareja02Wholesale03Electronics04Hardware05Cosmetics06Fashion07Salons08Huduma09SMEs

Biashara iko dukani. Usimamizi uko mikononi mwako.

Fuatilia mauzo, stock, wafanyakazi na muhtasari wa tawi hata ukiwa mbali na biashara.

  • Muhtasari wa shughuli za kila siku
  • Majukumu tofauti kwa mmiliki na mfanyakazi
  • Ripoti zinazosaidia kufanya maamuzi
MmilikiMuhtasari mkuuKigamboniMauzo · StockMbagalaMauzo · StockKariakooMauzo · Stock
MAUZO YA MATAWITSh 1,245,000

Taarifa za biashara yako, ndani ya akaunti yako.

Byteq Biashara imeundwa kwa kanuni rahisi za faragha, ruhusa na rekodi za kisasa.

Ruhusa kulingana na majukumu

Mmiliki na mfanyakazi huona sehemu zinazowahusu.

Taarifa za kila biashara

Taarifa za biashara na tawi hubaki kwenye mazingira yake.

Rekodi za kidijitali

Shughuli muhimu zinapangwa na kuwa rahisi kufuatilia.

Uzoefu wa kutumia Byteq Biashara.

Sehemu ya maoni kutoka kwa wamiliki wa biashara wanaotumia Byteq Biashara.

Maoni yanapakiwa...

Kabla hujaanza, fahamu muhimu.

Majibu mafupi kuhusu matumizi ya Byteq Biashara.

Byteq Biashara ni nini?

Ni mfumo wa kidijitali unaosaidia wafanyabiashara kurekodi na kufuatilia mauzo, stock, matumizi, madeni, wafanyakazi, matawi na ripoti kutoka sehemu moja.

Ni biashara gani zinaweza kutumia mfumo?

Maduka ya rejareja na jumla, electronics, hardware, cosmetics, fashion, salons na biashara nyingine ndogo au za kati zinaweza kuutumia.

Naweza kutumia kwenye simu?

Ndiyo. Mfumo umeundwa kufanya kazi kwenye simu, tablet na kompyuta kupitia browser.

Naweza kusimamia tawi zaidi ya moja?

Ndiyo. Mmiliki anaweza kuongeza na kubadilisha matawi au biashara anazosimamia kutoka akaunti moja.

Mfanyakazi anaweza kutumia mfumo?

Ndiyo. Mmiliki anaweza kumpa mfanyakazi akaunti na kumhusisha na tawi analotakiwa kulitumia.

Naweza kupata ripoti za biashara yangu?

Ndiyo. Unaweza kuchagua kipindi, kuona muhtasari wa taarifa na kupakua ripoti zinazopatikana kwenye mfumo.

Ninaanzaje?

Bonyeza Anza Sasa, tengeneza akaunti, ongeza biashara yako na uanze kutumia siku 3 bila malipo.

Una swali kuhusu mfumo?

Wasiliana na timu ya Byteq kupata maelezo au msaada wa kuanza.

Biashara yako inastahili zaidi ya daftari.

Anza safari ya kusimamia biashara kwa uwazi, urahisi na usimamizi bora.

Siku 3 za kwanza bure · Huhitaji kulipa sasa
BIASHARAMFUMO WA BIASHARA
BYTEQ GROUPMfumo wako unaandaliwa